-
Raisi Mtaafu Mh.Ally Hassani Mwinyi akiwa katika tamasha la usalama Barabarani lililofanyika tarehe 12/08/2017 katika uwanja wa uhuru jijini dar es salaam akielekea kukagua vitu vilivyo andaliwa na polisi kitengo cha usalama barabarani.
-
Kikosi cha polisi cha brasband kikijiandaa kuingia katika uwanja wa uhuru tarehe 12/8/2017 katika sherehe ya usalama barabarani jijini dar es salaam
-
Raisi Mtaafu Mh.Ally Hassani Mwinyi akiwa katika tamasha la usalama Barabarani lililofanyika tarehe 12/08/2017 katika uwanja wa uhuru jijini dar es salaam akielekea kukagua vitu vilivyo andaliwa na polisi kitengo cha usalama barabarani.
Jumatano, 23 Agosti 2017
Raisi Mtaafu Mh.Ally Hassani Mwinyi akiwa katika tamasha la usalama Barabarani
Raisi Mtaafu Mh.Ally Hassani Mwinyi akiwa katika tamasha la usalama
Barabarani lililofanyika tarehe 12/08/2017 katika uwanja wa uhuru jijini
dar es salaam akielekea kukagua vitu vilivyo andaliwa na polisi kitengo
cha usalama barabarani.
...